Mimi ni kijana, Elimu yangu ni Bsc degree Infomramtion Technology (IT). Nimefanya kazi za IT upande wa technical kwa miaka 4. Sasa naona wakati umefika wa mimi kujiendeleza kielemu ili niachane na kazi za technical. Msaada wa mawazo kwenu nyote hasa wale ambao mmenitangulia kielimu na kikazi pia, Je nikasome Masters ya kitu gani na wapi (sitaki IT tena labda itokee tu), au nifanye certification gani ili niwe competent zaidi katika soko hili la ajira?
Asanteni.
Asanteni.