Wadau habari zenu nimerudi tena, ndugu yenu nimepata zari wakubwa.
Nimepata chance ya kufundishwa production ya mziki na producer mkubwa sana tu hapa bongo kama nilivowaambiaga nna tatizo la bipolar ila mziki ni kitu ambacho nimekifanya kwa mda mrefu bila kujali tatizo hilo tofauti na harakati nyingine zimekua zikinishinda
Ila kipengele ni kwamba nipo chuo na chuo wamenambia hawatoi uhamisho mpaka nimalize semester ya pili.
Nahofia kuipoteza hiyo nafasi na pia tatizo langu linanifanya nisiwa na vibe na shule kabisa. Sasa shida ipo Kwa mzazi anataka nisome.
Mnanishaurije?