Mkuu kupata mkopo bank bila Financial Statements za miaka mitatu zilikokaguliwa na wahasibu wanaotambulika na serikali ni ndoto.
Nakushauri ukajaribu kwenye hizi Microfinance labda wanaweza kuweka dhamana asset zilizopo ndani ya guest yako kama vitanda, tv na vinginevyo.
Ni hayo tu.
Ahsante kwa ushauri mkuuMkuu kupata mkopo bank bila Financial Statements za miaka mitatu zilikokaguliwa na wahasibu wanaotambulika na serikali ni ndoto.
Nakushauri ukajaribu kwenye hizi Microfinance labda wanaweza kuweka dhamana asset zilizopo ndani ya guest yako kama vitanda, tv na vinginevyo.
Ni hayo tu.
Benki wanataka asset ambayo wanaweza kuiuza ukishindwa kulipa so kwa vile jengo sio lako itakuwa ngumu nadhani, ila unaweza kuzunguka mabenki kutokana na mahitaji yako unaweza ukapata chochote hasa kama hizo statement zako zinaonyesha kuwa biashara inaingiza hela za kutosha kuservice hiyo loan.
je hawa acess wanakubali kukopesha mtu aliye na mali na biashara yake mikoani? mbali na tawi ilipo benki?Nenda access bank ila uwe serious kwenye kulipa,si una guest house na ipo wapi?
MKUU nna nyumba Arusha, lakini kwa sasa nko Day, wanaweza kunipa mkopo kwa kuweka dhamana ya gari mbili ambazo ninazo hapa Dar?.Nenda access bank ila uwe serious kwenye kulipa,si una guest house na ipo wapi?
Mkuu unapata ila izo gari za biashara au na una biashara gani? Coz awewezi kukupa pesa biashara haunaMKUU nna nyumba Arusha, lakini kwa sasa nko Day, wanaweza kunipa mkopo kwa kuweka dhamana ya gari mbili ambazo ninazo hapa Dar?.
Hapana mkuu kwani biashara zako zipo wapi? Mkoa gani?je hawa acess wanakubali kukopesha mtu aliye na mali na biashara yake mikoani? mbali na tawi ilipo benki?
Moja ni hiace ya biashara. Moja ndogo ya kutembeleaMkuu unapata ila izo gari za biashara au na una biashara gani? Coz awewezi kukupa pesa biashara hauna