Kuna rafki yangu kwenye account yake ya TCU wamemwandikia yuko admitted in "PORTUGUESE SCOLARSHIP OF MOZAMBIQUE :MEDICINE" lakini jina lake limetoka kwenye bodi ya mkopo na facult ya BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING UDOM,na jina halionekani kwa waliochaguliwa UDOM.