Msaada wa mawazo kwenye hili biashara

kasambalakk

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
126
Reaction score
17
habari zene ndugu wanajamii
me ni mmoja wa watu ambao ninataka kuanza kufanya biashara ya bodaboda
nimepata dereva mzuri ambae ni mwanifu sana kuliko maelezo
nichoomba ni kuwa mfano mkataba wa biashara hio kat yangu mmliki na dereva jinsi unavyokuwa
ili niweze kumbana huyo kijan ili awe makini na kazi..
nitafurahi sana kupata mkataba ambao utanipa muongozo vizuri kwenye hili.

pia na hesabu ya wiki na jinsi ya kutunza kifaa kwa muda muafaka



shukran
kk
 
Naona hakuna mwenye uelwa na hii kitu, nakushauri waone business planers watakupa mchanganuo wa biashara yako na utapangiwa pia muda wa service kwa ajili pikipiki yako.
 
mcheki jamaa mmoja hv anaitwa zanzibar spices hkuhku jf kwenye nyuz za bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…