Msaada Wa Mawazo ,Mtaji Mil 1 Nafikiria Kuanza Biashara Moja Kati Ya Hizi....

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
salam za dhati kwenu wakuu!

mimi kama kijana nina nia ya kweli,
kwa mtaji mdogo nilio nao , nimefikiria kufanya moja kati ya ....kuuza na kusambaza kuku wa kienyeji /magunia ya mkaa ktk hotel mbalmbal hapa dar

kabla ya maamuzi tafadhari nishaurin ipi naweza anza nayo kwa hapa DAR
Pia naomba kwa yeyote mwenye kujua lolote kuhusu vp na mkoa gani naweza pata kuku wa kienyeji kwa bei nafuu ya jumla
pili vp kuhusu biashara ya mkaa, changamoto na namna gani naweza pata mtu wa kuniletea kwa bei ya jumla toka porin ili nami niuze hapa dar kwa bei nafuu kidogo?

NB: nakaribisha mawazo na ushauri kama kuna biashara mbadala mtakayoona ninyi inafaa zaid ya hizo!
Ahsanteni sana na karibuni sana!
 
Mkaa ni adimu kwa Dar,na changamoto kubwa ni kukamatwa na maliasili kwenye cheki point zao kutokana na kukosekana kwa vibali.Wale jamaa kama huna nyaraka wanachukua mzigo wote,hawana masihara.Pia upatikanaji wa vibali unasumbua somehow.Kama mzoefu wa kusafiri mikoani anza na hiyo ya kuku wa kienyeji,haina usumbufu sana.All da best!
 
mkuu! Ni kweli ila nasikia mkuna watu wenye vibali ambao hutoka na magari yenye mkaa huko mashambani na kuleta huku mjini kwa bei ya jumla, ila bado sijawajua mpaka sasa
kuhusu kuku ni wapi nitapata kwa bei ya jumla?
Ahsante mkuu!
 
Kuhusu biashara ya mkaa wenye magari yaliyo na vibali vya mkaa nenda Mbwewe au Mkata wamejaa wengi tu, sina uhakika na bei ya sasa kwa roba 100-120 huipungui Milioni2 ila ili uyaone masrahi halisi ya mkaa yakupasa uende mbeya ukakusanye wamalila 5 watakuchomea mkaa haraka sana kwa sh7000 kwa gunia na chakula wanajitegemea. Hakuna mfanyabiashara atakae kubali kukuuzia mzigo aliosafirisha kutoka porini mpaka dar kwa bei rahisi make mara nyingi wanaweka store na kusupply huko unakofikiria wewe.!
Tuwasiliane hapahapa ntakupa pori langu ekari150 ukate miti!

Kuhusu kuku, nenda singida utawapata wa kutosha!
 
Kuhusu Kuku wa Kienyeji Jaribu kufuatilia Mkoa wa Singida. S
 
mkuu nimekuelewa na umechanganua vizuri ila kwa kweli napenda kuwatafuta hao wamalilla ila suala la maliasili ndio ishu , kwa jinsi ninavyosikia wanaweza kuzuia mzigo wote na ikawa imekula kwangu
na ndio maana nataka mtu mwenye kibali ili anitumie mimi kwa bei ya jumla
 
Kuhusu Kuku wa Kienyeji Jaribu kufuatilia Mkoa wa Singida. S

ahsante kwa hilo mkuu, ila vp.. Unaweza kunipa japo bei yao kwa jumla huwa kiasi gani?
 
epuka matapeli,
umetangaza una pesa watu wanazilia taiming
 
Kuhusu biashara ya mkaa wenye magari yaliyo na vibali vya mkaa nenda Mbwewe au Mkata wamejaa wengi tu, sina uhakika na bei ya sasa kwa roba 100-120 huipungui Milioni2 ila ili uyaone masrahi halisi ya mkaa yakupasa uende mbeya ukakusanye wamalila 5 watakuchomea mkaa haraka sana kwa sh7000 kwa gunia na chakula wanajitegemea. Hakuna mfanyabiashara atakae kubali kukuuzia mzigo aliosafirisha kutoka porini mpaka dar kwa bei rahisi make mara nyingi wanaweka store na kusupply huko unakofikiria wewe.!
Tuwasiliane hapahapa ntakupa pori langu ekari150 ukate miti!

Kuhusu kuku, nenda singida utawapata wa kutosha!

pia kwa nyongeza ni hiv unaponunua kutoka ktk magari ni lahisi kununua chenge bora huende mwenyewe ukakate ila ukitegemea wa kununua kazima utakata mtaji,
 
kuhusu chenga , hiyo nayo ni changamoto itabidi nilifikirie hili pia!
 
Back
Top Bottom