Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Habari za maandalizi ya Eid wadau wa JF Doctor? straight to the point, mie na mke wangu tunatumia njia ya uzazi wa mpango ya kalenda. Sasa safari hii hajaziona siku zake yapata mwezi sasa, tumeshacheki mimba mara tatu hadi nirushapo uzi huu ila majibu mara zote ni negative. hali hii inatupa hofu sana as hatujui nini kinaendelea. Tafadhali ushauri ila kama wajiona wataka kuleta mzaha na kebehi pita wima.
Cc: @mzizimkavu
Cc: @mzizimkavu