Msaada wa mawazo: Nataka kuanzisha play station

ikiumasema

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2015
Posts
923
Reaction score
1,299
Nipo na kamtaji kama ml 2 hivi nataka kuanzisha play station hapa town napoishi...kwa wenye uzoefu haka kabiashara kapoje wakuu upande Wa maslahi yake na changamoto zake...Asanteni
 
Bora katafute shamba ukodi na kulima utapata faida nzuri baada ya miaka 3 unaweza hata kumiliki duka la electronic.
 
Mkuu fikiria Tena kitu kitakacho prolong kwa muda mrefu Na faida ambayo haitakuja kupotea kama upo mikoa mizuri Nunua Kuku kazaa Wa kienyeji fuga kwa umakini na utafurahi baadae
 
Unataka ps2 au ps 3 au ps 4 au x box 360
Hakikisha unakua uswahilini na flat mbili tu za kuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…