Ungeweka bajet yako kwanza maana unaweza shauliwa nyumba ya milion100 kumbe una 15M ya kujenga kibanda
Hana hata mbuni anataka kwenda kukopa bankUngeweka bajet yako kwanza maana unaweza shauliwa nyumba ya milion100 kumbe una 15M ya kujenga kibanda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba msaada wakitaalam kuhusu ujenzi wa nyumba za kupangisha Nina maeneo mawili, moja Makongo sqm3000 na Kigamboni sqm1700, nataka kujenga nyumba za kupangisha.
Je, nafata taratibu gani bank wanipe mkopo au wajenge wao?
Income yangu kwa mwezi haizidi laki 5
Hata hiyo 15m pia hana anachosema ni kwamba mshahara wake wa mwezi ni laki 5 kwa tukishamshauri ndipo aende benki kukopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niuzie eneo la makongo la sqm 3000.Naomba msaada wakitaalam kuhusu ujenzi wa nyumba za kupangisha Nina maeneo mawili, moja Makongo sqm3000 na Kigamboni sqm1700, nataka kujenga nyumba za kupangisha.
Je, nafata taratibu gani bank wanipe mkopo au wajenge wao?
Income yangu kwa mwezi haizidi laki 5
Mkopo wa benki kama hauna kipato kingine tena kikubwa cha kuingiza pesa utalia...Naomba msaada wakitaalam kuhusu ujenzi wa nyumba za kupangisha Nina maeneo mawili, moja Makongo sqm3000 na Kigamboni sqm1700, nataka kujenga nyumba za kupangisha.
Je, nafata taratibu gani bank wanipe mkopo au wajenge wao?
Income yangu kwa mwezi haizidi laki 5
Uza kiwanja kimojawapo upate nguvu ya kuendeleza kingine, au jitafakari kwa mwezi una uwezo wa kurejesha kiasi gani bank?Ila viwanja hivyo vyote gharama.zake ni kubwa navyomiliki
Hakuna namna mkuu