Joasi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 766
- 674
Poleni na kazi kaka na dada zangu.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo sasa sehemu ya kujishikiza Sijapata.
Nipo morogoro mjini.
(1) naomba kujua ni maeneo gani mazuri ya kulima mazao ya kumwagilia .
Mahindi,vitunguu maji na mengineyo mtakayonishauri.
(2) kwa mwenye experience ya maeneo hayo please anipatie ushauri .
Nimejipanga sh laki 5.5 na nipo tayari,
Nimeamua kuingia shambani kwa umakini sana Ili kupata faida .
Asante.