Msaada wa mawazo: Nataka kununua Toyo kwa ajili ya mizigo, je italipa?

Man tofa

Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
60
Reaction score
8
Nina wazo la kununua Toyo kwa ajili ya kuchukulia mizigo.
Je, kinalipa hasa kwa maeneo yenye masoko.

Asanteni wadau
 
mh..labda ununue Suzuki carry ,,ila biashara ya vyombo vya Moto Ni biashara kichaa Tu,,,ila toyo sikushauri mkuu
 
Biashara kichaa ni serikali ya ccm tu,biashara zingine zilizobaki zipo poa2
 
mh..labda ununue Suzuki carry ,,ila biashara ya vyombo vya Moto Ni biashara kichaa Tu,,,ila toyo sikushauri mkuu
Kwa muono wangu,changamoto kubwa ya biashara ya vyombo vya moto na machine ni "DEPRECIATION" uchakavu,ukiweza kukabiliana na hiyo changamoto utafanikiwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…