Brob
Member
- May 12, 2013
- 92
- 19
Mm ni muajiriwa katika shirika moja la umma kilichonifanya mpaka nijongee kwenye jukwaa hili ni mawazo yenu wadau napenda kufanya biashara kwani suala la kuajiriwa limekua gumu kwangu. si mara ya kwanza kufanya biashara ni mara mbili saiz lakini naprove failure mara ya kwanza nilifungua duka la soft drinks lakini likaisha kulingana na usimamizi mbovu kwani nilimuajiri dada mmoja hv.
nilijipa matumaini kufel mara ya kwanza isinipe taabu niliamua kuchukua mkopo wa million kumi na moja. ambao naurudisha kupitia mshahara wangu. nikaanzisha biashara ya maji nilikua wakala wa maji wilaya ya Mbalali yanayoitwa maji Africa yanapatikana Iringa lakini mambo hayakua kama nilivotarajia kwani kuna kiwanda kingine kilianzishwa wilayani humo kikawa kinatoa maji yanaoitwa IHEFU so biashara yangu ikadoda hivyo nikaacha na hela yote nikaishiwa sasa mkopo wangu nimekaribia kumaliza ningependa kuchukua mkopo mwingine wa million kumi kwani target yangu ni kuacha kazi endapo nitafanikiwa naomba ushauri ni biashara gani inaweza kunifaa kwa mtaji huo lakini ambayo naweza muajiri mtu wa kuisimamia kwani mm nafanya kazi porini na naweza nisiwe hewani kwa mwezi mzima.
Biashara hyo ningependelea iwe Iringa kwani itakua rahisi kuikagua.