vigumu kupata nafasi au mkopo. Lakini vema ajaribu kuapply, mambo ya bongo sometimes zali tu. Pia sio mbaya akiapply diploma level ktk fani apendayo. Au km yupo tayari kwa msuli mkali, a resit. in short awe na multiple options kuepuka kupoteza muda bure.
unaprinciple pass kwenye combination yako kwa hiyo usiogope sana uwezo wakupata chuo unaona . Sema la kama una principle pass ya basic maths o level itakuwa nzuri sana hasa ukitaka kuomba kozi za biashara na uchumi . Nakushauri uapply vyuo kama udom kuna kozi nyingi sana ambazo kwa matokeo yako unaweza pass pia ardhi university (aru). Kuhusu suala la mkopo litagemea na vigezo vingi nasikia sasa wamebadilisha mfumo .ila baadhi ya vigezo walivyokuwa wanatumia zamani wanaangalia education background (shule ya serikali au private st) kitu kingine hali yako ya kifamilia .habari zenu wana jf,tafadhali ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo kwa ajili ya mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha sita mwaka huu kwa bahati mbaya matokeo yake si mazuri,amepata div.iii ya point 13 matokeo yake ni kama yafuatayo:-
g/studies-f,history-e,geography-d,divinity-f,bam-f,economics-d
naomba ushauri wenu,je inawezekana akapata udahili katika vyuo vya serikali?
Pia kuna uwezekano wa yeye kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu?
Nashukuru sana,karibuni
unaprinciple pass kwenye combination yako kwa hiyo usiogope sana uwezo wakupata chuo unaona . Sema la kama una principle pass ya basic maths o level itakuwa nzuri sana hasa ukitaka kuomba kozi za biashara na uchumi . Nakushauri uapply vyuo kama udom kuna kozi nyingi sana ambazo kwa matokeo yako unaweza pass pia ardhi university (aru). Kuhusu suala la mkopo litagemea na vigezo vingi nasikia sasa wamebadilisha mfumo .ila baadhi ya vigezo walivyokuwa wanatumia zamani wanaangalia education background (shule ya serikali au private st) kitu kingine hali yako ya kifamilia .