raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
Mimi ni kijana niliyehitimu masomo yangu mwaka 2011 katika ngazi ya shahada. Baada ya kutuma maombi ya kazi mwaka mzima pasipo mafanikio.. Nimetafakari sana juu ya kujiajiri mwenyewe!
Binafsi nina uwezo wa kufanya ivyo pia nina busness idea mbili lakn kinachonikwamisha ni kukosa mtaji, yapo baadhi ya mabenki pia saccos nilizojaribu kwenda kwenye banjj wanahitaji dhamana ya asset hasa nyumba na viwanja kitu ambacho sina, saccos wanahitaji uweke kwanza 30% ya unachotaka kukopa ndo wakupe hela, mimi nahitaji kuanzia mil 5-10, dhamana niliyonayo ni vyeti vyangu vya shule..
Wanajamvi naombeni msaada wa mahali ambapo naweza pata huu mkopo.