Msaada wa Mawazo tafadhali

Ndio hz mkuu ndio nilikuwa sitaki watu wazione

Mbona ziko Open na zipo sanaa? Ishu ya M-PESA haiwezi kuwa wazo la biashara la Kuficha watu hata siku moja, na mkuu ushauri wa Bure ni kwamba kuna Baadhi ya Tasisi za Mikopo au Grand hutaka kitu kinaitwa SOUND BUSINESS IDEA, Mkuu hii ni wazo la biashara ambalo hata ukienda Kupresent Mahali watu wanaweza kukuona wewe ni mtu wa levo nyingine kabisa,

Mkuu kwa Mabenki ukienda na hayo mawazo yako ni kweli wanaweza kukupatia mkopo, kwa sababu wako kibiashara, Ila kwa watu wa kuingia nao Ubia si dhani make haya yapo sana, Na kwa zile taasisi zainazo endesha mashindano ya Biashara ndo kabisa hawawezi hata kuzipokea achilia mbali kuzisoma,

So unapo tafuta watu/Mtu/Taasisi ya kukupa Mkopo au Grant ni lazima uwe na kitu UNIQUE ni lazima iwe sounda business idea ambayo hata Paneli iliyo kaa inaweza tikisika,

Ni kweli kuna watu ambao wanapesa hawana cha kuzifanyia, ila kuwashawishi ni lazima uende na wazo lilio enda shule,

NA MWISHO KABISA Business Aidea haziwezi kuwa sili, Ikitembelea Bidnetwork kuna idea kutoka nchi mbali mbalia wanazishindanisha na ni Idea za kufa mtu,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…