Msaada wa mawazo tafadhali!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Naomba msaada wa mawazo yenu juu ya kufungua chuo cha mafunzo ya computer. Ninazo facilities kadhaa za kuanzia mafunzo ila nahitaji sana kupata usajili ili nitoe vyeti vitakavyotambuliwa na VETA. Naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa taratibu hizi pamoja na gharama za amlipo kwa usajili huo. Wasalaam!
 
Hongera ndg MAKOLE kwa uthubutu...

Kwanza kabla hujafungua computer centre fanya intensive analysis...
je utapata wateja wa kutosha kukidhi huduma yako???
Je utapata returns within the specified period???
Vipi costs of running that project???
Je hiyo service unayotoa inaendana na the current prevailing situation...???

Isije ukajikuta unafungua comp centre at the end ikakugalagaza kwa knockout...

My take...
Kwa hali halisi ya sasa, ningekushauri ufungue chuo cha ualimu, pata usajili wa nacte...
Wala hutotafuta wateja, watajaa wenyewe tena kwa kugombania. Wanafunzi wanaograduate form 4 na kushindwa kwenda advance ni wengi sana, wengi wao huchukua uamuzi wa kusoma VETA, ualimu na nursing.
Out of the 3, ualimu huwa na wateja wengi zaidi, vyuo vya ualimu kwa ngazi hiyo ni vichache mno, so itakua rahisi kwako kuingia kwenye hiyo market na ukala vichwa vya kutosha...

The rest is up to you...
Ol the best.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…