Msaada wa mawazo,ujenzi wa nyumba wilayani Kyela

Msaada wa mawazo,ujenzi wa nyumba wilayani Kyela

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Salam.

Kwa wale wanao ishi Kyela kwa sasa, naomba kujua mahesabu madogo kuhusu ujenzi wa nyumba wilayani hapo kwa mtu mwenye kiwanja tayari.

1. Nyumba ya vyumba 5 yenye vyoo ndani kwa ndani inatumia tofali ngapi za kuchoma?

2. Tofali moja inauzwa kiasi gani kwa sasa pande hizo? (Tofari za kuchoma)

3. Makadirio ya mafundi yakoje pande hizo.

Finishing materials nitazitoa huku Dar.
Asanteni.
 
Wee Genipher bado tu?
 
Hapa Jf watu watakudanya na kukatisha tamaa, hebu tembelea majirani wa mazingira husuka ujaribu kudodosa basi unaweza kupata ABC za kuanzia ila hapa JF watu watakukatisha tamaa, na hii ni kwa sababu wengi hawajajenga na waliojenga hawataki wengine wajenge.
 
Back
Top Bottom