MSAADA WA MAWAZO WADAU WA ELIMU (mitihani ya bodi ya uhasibu ATEC 1)

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
habari zenu wana jamii forum kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naingia diploma chuo kikuu cha tumain campus ya mbeya fulcuty BUSSINES ADMISTRATION na nataka mwaka ujao nifanye mitihani ya bodi ya uhasibu ATEC 1 vipi naruhusiwa na mambo gani ya muhimu nizingatie?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…