1. Inawezekana
2. Nenda UDSM, kuna taasisi ya kichina inaitwa Confucius Institute, unaweza kuicheki page yao hata instagram...ila ni vyema kwenda.
3.Inategemeana na level unayohitaji kusoma, nashauri tekeleza Na.2 utajua bei.
4.Levels zinaitwa HSK, ambapo zipo 1-7, angalau HSK4 ndipo unaweza kuwa vizur, kuhusu muda inategemea na u-serious wako, ila kwa maelezo zaidi nenda nilipokuelekeza, na 2.