Msaada wa mawazo wakuu!

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
774
Reaction score
167
Nimechaguliwa kozi ambayo haikuwa pale chuo cha Mipango Dodoma chaguo langu kwenye mfumo wa CAS wa TCU. Pia sikuikubali baada ya kuniambia nicofirm baada ya kupata chuo kikuu cha Kiislamu pale Morogoro kwa kozi niliyoitaka. Mpaka hapo nimepata vyuo viwili kwa kozi tofauti. Ile ya TCU inanitaka nicofirm lakini mimi nimeenda MUM kucofirm. Hapa sasa naona kuna tatizo baada ya TCU kutonitambua kule MUM cause hata katika selection za mikopo sipo na vigezo vyote nilikuwa navyo. Je, nifanyeje ikiwa nilipeleka barua yangu ya kuchaguliwa pale bodi ya mikopo kutoka MUM na wakaikataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…