bigjeff
Senior Member
- Oct 25, 2009
- 111
- 22
Nilikuwa wakuu nataka ninunue tyre fitting machines nilete hapo nyumbani niweze kufanya biashara,nipo mbali na nyumbani kwasasa lakini naweza kupata msimamizi , nilikuwa naomba mawazo kwa waliopo nyumbani vitu gani naweza kuviongezea kwenye biashara hiyo vikawavutia wateja na pia na jua biashara hizi zipo kila kona lakini nataka niwe tofauti kidogo.
Plz naomba mawazo kwa wanajasilimali .
Plz naomba mawazo kwa wanajasilimali .