That is the real point.Lakini pia kwa baadhi inachangiwa na mabosi, kama ilivyo serikali ya Tanzania hawapandishi mishahara hata mapato yakiongezeka.Motisha ni muhimu wambie kipato kikipanda kwa kiasi fulani mishahara yao nayo itapanda.ukiwa mgumu ndo morality inapungua, uwizi unaanza.Mwembechai ipo mashine ya kuonshea magari, nadhani pia kuna na sehemu zingine mbili au tatu. Pamoja na nia njema, suala la watendaji ni jambo gumu mno nchi hii kuliko hata huo mtaji. Pili, jamani wafanyakazi wa nchi hii ni wezi kwelikweli-hasa walioenda shule kidogo. Kwa hiyo, kabla ya kununua hivyo vifaa, hakikisha unafanyia kazi suala la watendaji-mfumo gani utaweka kuhakikisha huduma nzuri kwa wateja na jinsi gani utazuia wizi. Nasema haya kwa sababu ndiyo ugomvi wangu na wa tz wenzetu.
Nilikuwa wakuu nataka ninunue tyre fitting machines nilete hapo nyumbani niweze kufanya biashara,nipo mbali na nyumbani kwasasa lakini naweza kupata msimamizi , nilikuwa naomba mawazo kwa waliopo nyumbani vitu gani naweza kuviongezea kwenye biashara hiyo vikawavutia wateja na pia na jua biashara hizi zipo kila kona lakini nataka niwe tofauti kidogo.
Plz naomba mawazo kwa wanajasilimali .