mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
wana JF habarini za majukum! Hope week inaanza vyema kwa wengi wetu, jamani natamani sana kuingia kwenye field ya biashara na sijui ni wapi nianzie mwenye mawazo naomba anisaidie sambamba na hilo kuna wazo ninalo nataka kuongea na hawa watu wanaohusika na construction works hasa ujenzi wa nyumba za kuishi mie ninataka kuwa designer wa setting ya jikoni ikiwa ni pamoja na ku-design, kuweka makabati na kila kitu kinachostahili kukaa jikoni, natanguliza shukrani zangu kwenu waungwana wa JF
mkuu...vitu viwili hapa
je una background yeyote ya ku design kama vile architecture..? .. je utafungua kampuni ya ku design au ku fabricate ..... kitchen cabinets and in house fittings...?
au unataka vyote viwili... tunaita design and fabricate... au supply and fix... ?
mie napenda kuwa na vyote viwili mkuu ili nisipate shida ya ktk uendeshaji wa shughuli hiyo, pia hiyo shughuli natamani iwe ni kampuni inayojitosheleza kwa huduma zote zihusianazo na hayo uliosema