Zorrander
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 438
- 233
Habari wana JF, Naombeni msaada wa mawazo katika hili wandugu. Kuna jirani yangu ambaye mara nyingi nikienda kazini huwa nampa lift. Yeye anaishi na jamaa yake ambaye pia tunaheshimiana sana. Huwa tunaongea mambo mengi sana yakiwemo ya mahusiano wakati tukiwa njiani na mara nyingi huwa tunakuwa peke yetu. Jamani huyu mdada ni mzuri and educated. Nakiri nilimtamani sana since day 1 nilipomuona lkn kwa kuwa nina mpezi na namheshimu nilijitahidi kuwa mbali. Tatizo ni tulipoanza kwenda wote kazini nalishindwa kabisa kujizuia nikam-test at least anikatae labda itanisaidia nijiepushe, lkn hakunikataa na ananionyesha kwa mbali kwamba kuna nafasi ya kumpata. Bado huwa anapenda kutumia lift na anapenda tuzungumzie mapenzi mda mwingi. Nifanyeje?? Hata leo tulikuwa pamoja.