msaada wa mawazo wana-JF

msaada wa mawazo wana-JF

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
366
Reaction score
68
wadau poleni na mihangaiko inayotuweka mjini, naomba mwenye ujuzi au uelewa wa malighafi inayotumika katika utengenezaji wa vioo anijulishe jamani, na je hapa kwetu Tanzania kuna kiwanda kinachohusika na utengenezaji wa vioo au ndio hadi tuagize ughaibuni? Je kama malighafi zinapatikana kwa urahisi ni kikianzishwa hapa Tanzania kinaweza kulipa? Ninasema hivi utengenezaji wa vioo kutokana na kuwa ni miongoni mwa bidhaa muhimu zinazotumika miongoni mwa shughuli za ujenzi wa hasa wa siku hizi na kwa baadae nahisi itakuwa inalipa sana, naomba ushauri wako VS mchango wa mawazo kwa katika hili jambo,
 
Tafuta mfanyakazi wa Kioo Ltd pale Nyerere Road nyuma ya Alaf, atakupa detail zote za malighafi, soko la vioo wanavyozalisha,malighafi nk.
 
Thanks ndugu yangu nitafuata ushauri wako kama ulivyonishauri,
 
si vibaya ukipata majibu toka huko kiwandani ukatupatia nasi elimu hiyo, asante.
 
Back
Top Bottom