Msaada wa mawazo ya biashara

Ariyan

Member
Joined
Jun 22, 2019
Posts
11
Reaction score
14
Salamu kwenu wana jamvi

Kwa muda mrefu nimekuwa nikihangaika kutafuta pesa ya kutosha ili niweze kufungua biashara ambayo faida yake itakuwa inaonekana ili na mimi niweze kuongea kibosile katika mkoa huu wa Makonda. Katika kuzichanga changa pesa leo hii nimeweze kutimiza kiasi cha milioni 30 naombeni msaada wa mawazo yenu wana jamvi ni biashara gani naweza kufungua kwa mtaji wa kiasi hicho?
 
Twende tukanunue trekta tukalime shambani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…