Kijana Mzeeeh JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 295 Reaction score 324 Jul 13, 2019 #1 Kwanza nawasalimu wakuu! Swali langu linahusiana na hii gari katika picha niliyoambatanisha ikionesha sehemu ya chini si pazuri sana. Je, ni shida kubwa sana au ni kawaida tu? Nawashukuru.
Kwanza nawasalimu wakuu! Swali langu linahusiana na hii gari katika picha niliyoambatanisha ikionesha sehemu ya chini si pazuri sana. Je, ni shida kubwa sana au ni kawaida tu? Nawashukuru.
JMF JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 1,758 Reaction score 2,770 Jul 13, 2019 #2 Kawaida sana kiongozi. Hiyo ni body tuu ambayo kila mara inakuswa na maji, vumbi, tope n.k. hakuna shida hapo
Kawaida sana kiongozi. Hiyo ni body tuu ambayo kila mara inakuswa na maji, vumbi, tope n.k. hakuna shida hapo
Kijana Mzeeeh JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 295 Reaction score 324 Jul 13, 2019 Thread starter #3 JMF said: Kawaida sana kiongozi. Hiyo ni body tuu ambayo kila mara inakuswa na maji, vumbi, tope n.k. hakuna shida hapo Click to expand... Kinachonitisha zaidi ni huo muonekano kama wa kukatika. Sio shida hiyo? Ingawa naona gari nyingi ziko hivyo.
JMF said: Kawaida sana kiongozi. Hiyo ni body tuu ambayo kila mara inakuswa na maji, vumbi, tope n.k. hakuna shida hapo Click to expand... Kinachonitisha zaidi ni huo muonekano kama wa kukatika. Sio shida hiyo? Ingawa naona gari nyingi ziko hivyo.
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Jul 14, 2019 #4 Mkuuu punguza Uchafu, hiyo gari kinachoitesa ni kutoogeshwa ipasavyo naaamini hayo yasingetokea. Jitaidi kuwa msafi wa chombo chako.
Mkuuu punguza Uchafu, hiyo gari kinachoitesa ni kutoogeshwa ipasavyo naaamini hayo yasingetokea. Jitaidi kuwa msafi wa chombo chako.
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,662 Reaction score 3,715 Jul 14, 2019 #5 Kijana Mzeeeh said: Kinachonitisha zaidi ni huo muonekano kama wa kukatika. Sio shida hiyo? Ingawa naona gari nyingi ziko hivyo. Click to expand... Hiyo kuna siku utakuwa speed itatoboka udondoke chini, yaani udumbukie
Kijana Mzeeeh said: Kinachonitisha zaidi ni huo muonekano kama wa kukatika. Sio shida hiyo? Ingawa naona gari nyingi ziko hivyo. Click to expand... Hiyo kuna siku utakuwa speed itatoboka udondoke chini, yaani udumbukie