Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta vijana kama watatu hivi wawe wanatembeza maji ya kunywa kwenye stendi za daladala,wewe kazi yako inakuwa ni kununua cartons za maji na kuziweka kwenye friji kisha unawapatia na kugawana nao faida hiyo ndio biashara rahisi kwa kule maana abiria akipata kiu lazima atakunywa majiatake asitake.Kwa hapa Dar es salaam kuna mzunguko mkubwa sana wa watu kwa 800,000 maeneo ya Mbagala naweza fanya biashara gani ninaweza kuingiza walau 20k au 15k faida kwa siku?
Ushauri wenu please guyz
Tatizo sina friji kakaTafuta vijana kama watatu hivi wawe wanatembeza maji ya kunywa kwenye stendi za daladala,wewe kazi yako inakuwa ni kununua cartons za maji na kuziweka kwenye friji kisha unawapatia na kugawana nao faida hiyo ndio biashara rahisi kwa kule maana abiria akipata kiu lazima atakunywa majiatake asitake.
Kwa biashara zingine kule ni pagumu sana kutokana na mzunguko mdogo wa pesa.