Jamani nataka kufungua duka la kuuza sukari kwa jumla tu yaani mifuko ya 25kgs na 50kgs.. mwenye uelewa mzuri kuhusu eneo hili anishauri tafadhali...nimepata frem gongo la mboto... maoni yenu plz