msaada wa mawazo yenu

Wisdom youlth

Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
73
Reaction score
17
me ni kijana mtanzania niishie nje ya nchi,,, kutokana na utafutaji wa maisha ndugu zangu ninaposema naombeni msaada wenu,,, me ninapenda sana kusoma but kwa bahati mbaya nimeishia darasa la saba ila napenda sana kujiendeleza je nitawezaje kujiendeleza na nijiwa nje ya nchi? Msaada wenu ndugu zangu.
 

Ndio unaweza kujiendeleza. Kitu muhimu kuliko vyote ni kudhibiti Lengo. Fuatilia katika nchi uliopo ujue utaratibu wa kujiandikisha shule kwa mtu mwenye elimu ya kiwango chako. Wala usione aibu kabsaa, hata mimi niliishia bakora. Halafu pia vile vile usisahau distant learning. Siku hizi kuna internet, na inatoa elimu nzuri tu ya uhakika, Kama wehenga walivosema Kwenye nia kuna njia, unaweza kusomea fani au kitu chochote unachotaka.
 

Kweli kabiza mkuu
 
Uko nchi gani?na una railimali za kutosha?
 

Thax kwa ushauri lakini ningependa nijue hiyo distant learning nitawezaje Kuipata? Yaani namna ya kujisajili na pia ningefurahi kusikia kama Tanzania inapatikana huduma hii kwa internet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…