Mambo jf,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana
Dogoo hiyo coz ulichagua au ulichaguliwa na kama ulichagua kwanini ulichagua kusoma kitu usichokijua.....na VP unamalengo na elimu yako kama ndio ndoto zako ulitaka kuwa nani au kuwa na elimu kuhusu nin hadi ukachagua hiyo coz...kama majibu ni tofauti na hapo basi nakushauri achana na mambo ya kwenda chuo nenda pale Lumumba mwambie chakubanga akupe kazi