Tetesi: Msaada wa mawazo

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Habari JF,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana
 
Badilisha kozi utakufa njaa kwa nchi yetu utachoma mahindi mpaka ukome.

Ukifika chuo badilisha program usome BSc. With education then unaweza ku-major katika Bios na Chem au Bios peke yake

kuanzia leo ieleweke kwamba "Tecno sio Simu"
 
ni bachelor of science in biology same to me kila mtu anataka aihame hiyo coarse hebu mwenye uelewa zaidi atuambie
 
Ndoto kweli hubadilika kutokana na nyakati....hivi wakati ulikua mtoto ulitamani kuja kuwa nani vile.....ajabu bado unasomea vitu hata hujui utakua nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…