CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
simple anaweza nunua mashati mazuri akayafunga vizuri kwenye gift papers akawapa siku hiyo.........
Au la kama ana hela awanunulie vitu ambavyo hawana, ila sioni sababu ya kucomplicate mambo.......
ana budget kiasi gani ? kama vp anunue linen ful shati na suruwalehabari za jumatatu wapendwa, hope w-end yenu ilikuwa poa kama yangu. naomba tumshauri rafiki yangu.
yeye anatarajia kuolewa katikati ya mwezi ujao. anauliza ni zawadi gani nzuri anaweza kuwapatia kaka zake (kama zawadi za marehemu wazazi wake). kama mjuavyo wakati wa send off bi.harusi mtarajiwa huwapa wazazi zawadi / shukrani. basi naye anatafuta zawadi ya kuwapatia kaka zake ambao wamemlea kama ambavyo angelelewa na wazazi wake. asanteni
ana budget kiasi gani ? kama vp anunue linen ful shati na suruwale
aangalie kitu gani hao kaka hawana kuendana na mfuko wake.....anaweza nunua sandals, au mashati simple mazuri
mbona nakuhc ni m2 mzima bt unaongea madudu?awaandikie shairi lenye ujumbe mzito kuhusu "UMUHIMU wa matumizi ya CONDOM" ni mawazo yangu.
anaweza nunua shati nzur na saa nzur za mkononi. ndo wazo langu
inategemea kama anakaa nao nyumba moja anaweza nunua pambo zuri la nyumba yao frem nzuri ya expensive ambayo its an everlasting memory kwa mmja mmja will vanish.au frem ya picha nzuri aweke picha nzuri ya kila mmja small picture(family frem )kuna mahali zinauzwa huku kisutu kwa waarabu flan yani ni nzuri sana.
Awaulize wakubwa zake heshima na desturi za kabila lake...
Najua zawadi za kimila huwa haziwi kubwa sana,lakini huwa zina maana sana.
Wakati mwingine huenda ikawa ni nguo, shuka, bakora, msuli n.k.
Kuna wakati niliambiwa,ukimnunulia binti wa kimaasai saa ya mkononi ni sawa kabisa na kumvisha pete ya uchumba