Msaada wa mawazo

Msaada wa mawazo

SIR.NOM

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
78
Reaction score
24
mechaguliwa kujiunga na masomo ya udaktari 2012/2013 shahada ya 1 yani undergraduate-chuo cha IMTU kpo DAR,ada ni sh.6,250,000/= ukiachia na gharama nyingine ndogondogo km vle direct cost,bodi ya mikopo wananipa sh.2,600,000/= tu lakn hali yangu ya kiuchumi inabana sana,naomba msaada wenu,ushauri nifanyaje ili niweze kuitumia nafasi hii na ninaipenda sana tena sana kutyoka damni,na tar.ya kuripot ni kuanzia 29/09/2012.
 
sasa wewe siulijua kuwa ada ni ghali kwanini uliichagua..au ulikuwa unatafuta umaarufu!! haya cha mtema kuni utakiona..
 
Hahahaha kaka ukiwa na nauli ya kupata bus la kimbinyiko usipande abood litakushusha njiani
 
Da unajua kubadili chuo ni ngumu, na bodi kukulipia 6.5 mil wakat wengine 1.5 mil hawawezi.cha kukushauri pumzika huu mwaka halafu uombe vyuo vingine kama Muhas. Bugando au kcmc. Me 4th year Udsm
 
Back
Top Bottom