Nina mtoto mchanga ila maziwa yamekata ghafla na yanayotoka ni mepesi sana mtoto hashibi,nifanyeje yaongezeke uzito na wingi
Nina mtoto mchanga ila maziwa yamekata ghafla na yanayotoka ni mepesi sana mtoto hashibi,nifanyeje yaongezeke uzito na wingi
Kunywa sana uji wa ulezi na vyakula vyenye lishe kubwa.
nimeelewa mama.uji wa ulezi huwa unaleta constipation...kama umejifungua kwa c-section itakuletea shida labda usubiri till after 2month.