Msaada wa mawazo

olivier

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Nimekua nikisumbuka kupata mtoto,ila majuzi tu nimegundua nina ujauzito wa mwezi baada ya muda mrefu,niepuke dawa gani katika safari hii? Nahofia isitoke
 
Dawa zote adi ushauriwe na dk. Na mda wote umuelezee dk. Hali yako kabla ajakuandikia dawa
 
Hongera sana kwako na zaidi kwa aliyeiweka .... hongereni wote!
 
na viko vyakula pia unatakiwa uviepuke.jaribu ku google upate information zaidi.hongera sana
 
Hata ukiandikiwa na dr dawa, google upate info zake.tumia keywords contraindications of. . . . dose in pregnancy. Utajiweka salama zaidi.
Hongera sana, Mungu alieanzisha kazi hii ndani yako ataimalizia salama.
 
Hata ukiandikiwa na dr dawa, google upate info zake.tumia keywords contraindications of. . . . dose in pregnancy. Utajiweka salama zaidi.
Hongera sana, Mungu alieanzisha kazi hii ndani yako ataimalizia salama.

hii njia huwa inasaidia kwangu mimi huwa nikipewa dawa huwa nagoogle kwanza .
 
Hi wana Jamii nashukuru kujiunga nanyi leo. Ahsante, mnivumilie pia ninapokosea maana ndio najifunza.
 
Nim............................................................ Nahofia isitoke

Pole sana kwa taabu iliyokupa...........................usiogope haitoki Mungu amesikia kilio chako!!

Lea vizuri mimba yako kwa kutembelea clinic ya uhakika na umuone daktari, soma vijarida vya maswala ya afya yanayotolewa na vyanzo vya kuaminika, na endelea kumwomba Mungu na kuacha dhambi!!

Hongera sana.................Mungu akikujalia kujifungua salama usisahau kuja kutujuza pia!!
Ahsante!!
 
Hongera! Onana na daktari bingwa wa wanawake atakusaidia kukupa ushauri
All da best mamii na Mungu akujalie kutimiza haja ya moyo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…