Msaada wa mawazo

Msaada wa mawazo

2ngindo

Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Wanajf naombeni mchango wenu wa mawazo. Mimi ni mtumishi wa serikali nimefanya kazi miaka 8 nimejiendeleza na kupata shahada ya maendeleo ya jamii. Nifanyeje ili niweze kubadili idara, asanteni kwa mawazo yenu.
 
Back
Top Bottom