2 2ngindo Member Joined Mar 2, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Mar 13, 2013 #1 Wanajf naombeni mchango wenu wa mawazo. Mimi ni mtumishi wa serikali nimefanya kazi miaka 8 nimejiendeleza na kupata shahada ya maendeleo ya jamii. Nifanyeje ili niweze kubadili idara, asanteni kwa mawazo yenu.
Wanajf naombeni mchango wenu wa mawazo. Mimi ni mtumishi wa serikali nimefanya kazi miaka 8 nimejiendeleza na kupata shahada ya maendeleo ya jamii. Nifanyeje ili niweze kubadili idara, asanteni kwa mawazo yenu.