msaada wa mawazo

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
wakuu mi npo dar maeneo ya
mbezi beach,nna hela ya ziada
mil 10 nmeona niangalie fursa
tofauti tofauti,nimeona biashara
ya bajaji ndo rahisi kwani
haitaharibu mda wa chuo
masomoni.wakuu hi biashara
ikoje mliopo kwenye
biashasa,ina risk zipi pia?
naomba ushauri wenu pia nnje
ya bajaji pia opportunities labda
za kuchukua simu china.
 
wakuu mi npo dar maeneo ya
mbezi beach,nna hela ya ziada
mil 10 nmeona niangalie fursa
tofauti tofauti,nimeona biashara
ya bajaji mbili ndo rahisi kwani
haitaharibu mda wa chuo
masomoni.wakuu hi biashara
ikoje mliopo kwenye
biashasa,ina risk zipi pia?
naomba ushauri wenu pia nnje
ya bajaji pia opportunities labda
za kuchukua simu china.
 

risk ni kama zote zikagongwa vibaya sana na hauna bima.

nje ya apo ni sawa.
 
Unapo tak kuingia kwenye Biashara wewe ingia tu,Kuhusu risk mkuu ziko kila mahari hakuna biashaa isiyo kuwa n risk na risk zipo a aina nyingi sana, kilichopo ni kuingia tu huku ukicalculate risk make ukiogopa risk hakika hutafanya chochote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…