sumaibra JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 232 Reaction score 101 Sep 3, 2013 #1 Habari wana JF,mm ni kjana ambae nimepata choice mbili za masomo ambazo ni 1)civil eng 2)computer science sasa naomba mnishauri kozi ambayo nkisomea itakua rahisi kuajiriwa na kujiajiri
Habari wana JF,mm ni kjana ambae nimepata choice mbili za masomo ambazo ni 1)civil eng 2)computer science sasa naomba mnishauri kozi ambayo nkisomea itakua rahisi kuajiriwa na kujiajiri
BJ.Sahani JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 220 Reaction score 31 Sep 3, 2013 #2 Coz 1,napendekeza tu mkuu!
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Sep 3, 2013 #3 Umezipataje hizo choices 2.
Chiefmweusi Member Joined Sep 21, 2012 Posts 87 Reaction score 9 Sep 3, 2013 #4 coz 1..mekaa vizur..hiyo 2 kwasasa kawaida sana ilikua miaka ya nyuma..nimtazamo...
SAMORE TOURE Senior Member Joined Aug 5, 2012 Posts 116 Reaction score 9 Sep 3, 2013 #5 kama una uwezo soma civil...comp sc tupa kule hakuna ki2 hapo!