Msaada wa mbegu bora ya mpunga

Msaada wa mbegu bora ya mpunga

Kwa sasa hakuna mbegu inayozidi SARO 5 utadanganywa bure hata mimi nilikuwa nalima hizi za kienyeji naishia gunia 12-18 kwa heka ila mwaka huu SARO 5 imetoa si chini ya gunia 25-28 debe
Kwa sasa hakuna mbegu inayozidi SARO 5 utadanganywa bure hata mimi nilikuwa nalima hizi za kienyeji naishia gunia 12-18 kwa heka ila mwaka huu SARO 5 imetoa si chini ya gunia 25-28 debe 7 bila kutumia mbolea
Bei gani na unapanda kias gani kwa ekari.
 
Hao wana pembejeo bora kuliko sisi wabongo
 
Hao wana pembejeo bora kuliko sisi wabongo
 
Tuwaite Wamisri watufundishe, wanatowa mpunga mpaka gunia 40, za kilo 100 kila moja, kwa eka 1.

Tena ni kilimo cha irrigation.
Hao wamisri walishawahi kuwepo hapa nchini, walikua jirani zangu kabisa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. Na walikua na project hiyo ya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji, eneo nimesahau linaitwaje ila ni baada ya kupita Mombo
 
Mkuu siku ukiwa na shida ya mbegu za kiume kwaajili ya bintiyo au mkeo nishtue
 
Back
Top Bottom