Msaada wa mbegu ya French/green beans

Msaada wa mbegu ya French/green beans

Chipsi Kavu

Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
26
Reaction score
16
Habar wanajamvi, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba nifaamishwe wapi naweza pata mbegu ya maharage machanga maarufu kama French Beans/Green Beans, mim niko Lindi. Ahsanteni natanguliza shukrani za dhati.
 
Mkuu huko sio rahisi kupata ila Moshi, Arusha, Lushoto, UtapAtA. Ongea na mawakala wa pembejeo Lindi wakuagizie Arusha
 
Back
Top Bottom