Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Habari za Jioni wakuu.
nategemea kuanza kupanda matikiti maji na pili pili hoho wiki ijayo.
Wakulima wengi kwenye enao nililopo wamehsauri wakati wa kupanda nitumie mbolea ya kuku am samadi.
Kulingana na mazingira niliyopo nimekosa kabisa hiyo aina hizo za mbolea.
Naombeni ushauri wa aina gani ya mbolea ya dukani naweza kutimia kupandia na nikiasi gani kinatosha heka 3.
Asanteni