Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Mkuu ninatumia mda mwingi sana kwenye internet lakini Makala za hao wataalamu wa mtaandaoni hazina maelezo ya kutosha. unakuta nyingi wamecopy.Kuna wataalamu wa kilimo wanaojulikana kwa jina la KILIMO BIASHARA. Hebu wa google tu, utawapata na hizo taarifa unazotaka wanazo kede kede, ni wewe tu na muda wako wa kuzisoma. Bye for now Fursakibao.
Nadhani ni suala la imani, unatuamini sana sisi wa humu JF; nakushauri uwaamini na hao wa mtandaoni, huko ndiyo jukwaa lao na zaidi ni kuwa wameweka namba zao za mawasiliano, unaweza kuwapigia mkahojiana ili mradi upate utakacho na kisha ukichanganye na cha humu JF kisha chagua cha kutumia na songa mbele.Mkuu ninatumia mda mwingi sana kwenye internet lakini Makala za hao wataalamu wa mtaandaoni hazina maelezo ya kutosha. unakuta nyingi wamecopy.
Humu nadhani kuna wataalamu ambao wameshalima na wanauzoefu na hayo mazao niliyosema.
Soko vp ?Mie nimejikita zaid ktka kilimo cha matikit niulize lolote kuhus tkti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Naskia matikiti yameadimika sahvi!
upo wap? mbolea ya kuku ni nzuri sana kwa kupandia hupendezesha mmea na kufanya unenepe ungeipata usingejutiaView attachment 862420Habari za Jioni wakuu.
nategemea kuanza kupanda matikiti maji na pili pili hoho wiki ijayo.
Wakulima wengi kwenye enao nililopo wamehsauri wakati wa kupanda nitumie mbolea ya kuku am samadi.
Kulingana na mazingira niliyopo nimekosa kabisa hiyo aina hizo za mbolea.
Naombeni ushauri wa aina gani ya mbolea ya dukani naweza kutimia kupandia na nikiasi gani kinatosha heka 3.
Asanteni
Zanzibarupo wap? mbolea ya kuku ni nzuri sana kwa kupandia hupendezesha mmea na kufanya unenepe ungeipata usingejutiaView attachment 862420View attachment 862424
kaka vp soko la zanzibar nasikia ni zuri kiasi! hunanamba ya dalali wa tkti au nanasi nataka nianze kuzisafirisha kama italipaZanzibar
Nilinunua lamikini muuzaji amenishauri niweke baada ya kuotesha. Ni sawa?Tumia mbolea aina ya DAP kwa hekari tatu nunu mifuko mitatu inatosha kabisa
Nitakuangalizia. Ni vizuri ukaleta off seasonkaka vp soko la zanzibar nasikia ni zuri kiasi! hunanamba ya dalali wa tkti au nanasi nataka nianze kuzisafirisha kama italipa