Msaada wa Mbolea Ya Kupandia Tikiti Na Hoho

Safi
 
Nunua:
Yara Otesha hii nzuri kuliko.mbo'ea zote za kuoteshea

Kukuzia Nunua Yara Mila Winner

Kunenepeshea matunda Nunua Yara Nitrabor
Umemaliza hapo
 
Tatizo hizi za kiwandani ukipiga maji mengi zinayeyuka haraka na kupotelea ardhini. Ndio mana wengi hushauri kupandia samadi sababu itakaa kwa muda mpaka utapoweka mbolea ingine. Nini maoni yako kwa hili?
 
Mkuu hii 1M X 1M ni mstari hadi mstari na shimo hadi shimŕo?

Nilipanda kwa vipimo vya 2M X 70cm na nilipata mashimo 2915
 
Nunua:
Yara Otesha hii nzuri kuliko.mbo'ea zote za kuoteshea

Kukuzia Nunua Yara Mila Winner

Kunenepeshea matunda Nunua Yara Nitrabor
Umemaliza hapo
Naweza kuweka mbolea ya kukuzia mara mbili kama ipo?
 
Mkuu hii 1M X 1M ni mstari hadi mstari na shimo hadi shimŕo?

Nilipanda kwa vipimo vya 2M X 70cm na nilipata mashimo 2915
Mstari hadi mstari na shimo hadi Shimo ila inategemea na variety
Vipi kwa spacing uliyo tumia ulipata mavuno Mazuri?
 
Ndio kwanza nimepanda, wiki ya tatu sasa.
Hiyo spacing nilishauriwa na mtaalamu moja wa USAID baada ya kugundua nimetengeneza matuta makubwa. Badala ya kuyapunguza akanishauri nitumie hiyo space
 
OK mkuu siyo mbaya hiyo spacing endelea na management tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…