Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Mi zamani kidogo nilitaka kuweka pump na tank la lita 3000 za mafuta ya taa kisarawe, nilivyofuatilia nilichoka kabisa nikaacha
 
Bora wewe umeelezea kwa namba. Sio hao wengine wanasema 2b maraa 700m ni pesa ya nyanya.
 
usiogope mkuu, hata ujenzi mwingine kama wa ghorofa moja kwenye eneo la square meter 70 kuna wanaosema inajengwa kwa milion 300 , lakini ukweli ni kwamba hata milion 100 haiishi
Mkuu unazungumzia ghorofa zipi hizo au zile za kuezekwa nyasi za kule umatengoni?
 
Mkuu unazungumzia ghorofa zipi hizo au zile za kuezekwa nyasi za kule umatengoni?
Shida iko hivi , wewe mjengaji unatafuta kampuni ya kukujengea ghorofa moja , hiyo kampuni nayo inampa kazi mtu mwingine ambaye naye anatafuta vibarua kadhaa ! unadhani hawa wote watalipana nini ?
 
Hacha UONGO....! Data za kupika ume tamka tu kiasi, hapa ume ibia mzee
Acheni kutisha bei wala la si kubwa Aliyetenda serious aje ni map tie quotation na mafundi akitaka hata ramani nimekwama mm nemc wa kuchukua 4m zangu bado EIA kale 3.4m nimechoka kapa
 
Umeziangalia hizo sifuri kwa uzuri?
Ndio uongo ulipo mzee... Na ndipo unapo anziaga...

Ukija mwambia piga hesabu hiyo USD 1M kwa tsh 2317 jibu lije 2B...
 
Ila Chillah hiyo nembo yakoni kikazi
Ndio uongo ulipo mzee... Na ndio unapo anziaga...

Ukija mwambia piga hesabu hiyo USD 1M kwa tsh 2317 jibu lije 2B...
Yaaani ni tabu ma diwani wanataka kula viongozi wa mtaan haswa hapo wa nembo yako
 
Hii ndo ingetusaidia kujua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…