Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

KITUO CHA MAFUTA KINAUZWA KIPO MBAGALA DAR ES SALAAM
BEI NI USD 1,000,000 (usd 1M) Sawa na pesa za kitanzania Bilioni 2.3
mawasiliano 0782 780 980 au 0677 81 82 83
View attachment 1257958
Hizo pump hazizidi 20m x3=60m. Kiwanja 100m. EIA 10M, Vikao 10m vibari mbalimbali vyote na leseni 10m . Total 190m + shade, toilet, ofisi, tank za kuweka mafuta chini vyote 100m inakuwa jumla kuu 290m iweje wauze 2.3B
 
sikulaumu hapo ndipo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia... nitafutia kituo cha mafuta chenye hata pump 1 tu kwa bei hiyo...nakununulia

Mkuu jifunze kukaa kimya katika mambo usiyoyajua na yaliyokuzidi uwezo wako...sio lazima uchangie...
 
Sawa kwa bei hiyo utawakamata mabwiga tu. Hiyo petro station si ya bei unayotaja.
 
Sawa kwa bei hiyo utawakamata mabwiga tu. Hiyo petro station si ya bei unayotaja.
Yaani nakushangaa sana unakurupukia na kuthaminisha mali za watu
1.Hujui location ya kituo
2.hujui fame kiasi gani na connection ambazo hicho kituo ishatengeneza za wateja wakudumu
3.hujui ina matanki mangapi na yana ukubwa gani
4.hujauliza mauzo ya siku ni lita ngapi?

Yaani nakusikitikia sanaaa hasa hasa ukinambia kuna siku unaanzisha biashara... wewe unaangalia thamani ya vitu inavyoviona kwa macho na data zakukadiria... daaaaaahhh pole sanaa
 
Kwa uliyoorodhesha mmiliki wa kituo asingetangaza kuuza. Utawapata mabwiga tu.
 
Vzr sana mkuu
 
Pump 2@15,000,000/=
Kiwanja 100,000,000/=
Ujenzi wa paa10,000,000/=
Mantank ya lita 100000 mawili @ 15,000,000/ kifupi haifiki milioni 200
Ujenzi wa paa ni zaidi ya hiyo hela uliitaja, gharama ya chuma, galvanised sheets siyo kwa bei hiyo mkuu
 
Kuna jamaa yangu wa Korogwe alinunua kituo cha mafuta maeneo ya Kongiwe milioni 600m miaaka kama
 
Mkuu upo sahihi, kuna jamaa ndo alikuwa msimamizi mkuu wa filling stations iliyopo wilayan, nikamwuliza total costs ya hiyo shell akanambia ni kama 400mil
 
Mkuu nenda pale OIL COM kurasini wale jamaa watakupa feedback mzuri sana tena na pump utapewa bure na jenereta.Wale jamaa wamwsaidia watu wengi sana.
Unaweza kuongeza nyama kidogo mkuu msaada upi anaweza pata hapo Oil Com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…