msaada wa mchanganuo wa kodi

msaada wa mchanganuo wa kodi

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
Nawasalimu wadau wote wajukwaa hili.. Ninaomba mnisaidie kiwango cha kodi kinachotakiwa kulipwa kwa kampuni yenye annual turn over ya tshs 800,000,000-1,600,000,000.
 
Corporate tax haitokani na annual turnover bali TAXABLE PROFIT.
Lakini kuna aina nyingi za kodi utazotakiwa kulipa pending on nature of your business.
 
Back
Top Bottom