elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,261 Reaction score 9,733 Jul 21, 2013 #1 Nawasalimu wadau wote wajukwaa hili.. Ninaomba mnisaidie kiwango cha kodi kinachotakiwa kulipwa kwa kampuni yenye annual turn over ya tshs 800,000,000-1,600,000,000.
Nawasalimu wadau wote wajukwaa hili.. Ninaomba mnisaidie kiwango cha kodi kinachotakiwa kulipwa kwa kampuni yenye annual turn over ya tshs 800,000,000-1,600,000,000.
MTAZAMO JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 19,675 Reaction score 33,583 Jul 21, 2013 #2 Corporate tax haitokani na annual turnover bali TAXABLE PROFIT. Lakini kuna aina nyingi za kodi utazotakiwa kulipa pending on nature of your business.
Corporate tax haitokani na annual turnover bali TAXABLE PROFIT. Lakini kuna aina nyingi za kodi utazotakiwa kulipa pending on nature of your business.