Msaada wa mfumo bora wa uongozi wa kampuni( Company Organisation Structure).

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
Habarini wadau wa JF !

Nahitaji msaada wa mfumo mzuri wa uongozi wa kampuni. Kama kuna watu wa utawala humu, raslimali watu nk wanisaidie. Ikiwa kampuni ndogo tu au ya kati na hususani kwenye TITLES za msingi itakuwa poa sana

- Shukhrani
 
Ni kampuni yako unataka kuanzisha?
Kama ni kampuni yako ndogo, haina haja ya ku complicate kwa sasa, ikiwa complex ndio nawe unazidi kuiundia vitengo mbalimbali na kui formalize zaidi

Kwa sasa kama wewe ndio mkurugenzi mwenyewe utakua na right hand man wako ambaye ndio utamfanya manager na HR na mshauri, japo mtashirikiana hapo

Wengine ni sekretari, mhasibu, mtu wa marketing na utafiti, na mtu wa kuwafanyia usafi kama mtahitaji...kampuni inafanikiwa tu kama nidhamu ikiwepo
 
1. Sales & Marketing..

-Website maintenance
-Online Marketing
-PR
-Lead Generation
-Opportunity Management
-Account management

2. Operations.

-Production
-Customer Service
-Shipping and
Fulfillment
-Product Development


3.Financial and Admin
-Book Keeping
-Accounting Office
-Management
-IT
-HR Financing
 
Shukhrani kamanda
 
Shukhrani kwa ushauri.
 
You can outsource departments mbalimbali kuliko kujaza utiriri wa wafanyakazi wanaofanya kazi ileile.

HR. Accounting. Finance. Administrator.
Shukhrani
 
Habarini wadau wa JF !

Nahitaji msaada wa mfumo mzuri wa uongozi wa kampuni. Kama kuna watu wa utawala humu, raslimali watu nk wanisaidie. Ikiwa kampuni ndogo tu au ya kati na hususani kwenye TITLES za msingi itakuwa poa sana

- Shukhrani
Inategemea unataka kufanya shughuli gani ya biashara/huduma, ukubwa wake, mtaji nk. Wataalamu wa Organization structures tupo.
 
Kampuni Ikiwa ndogo tambua yafuatayo.

Mmiliki wa kampun ndo atakuwa
- Sales Manager
- IT manager
- Marketing Manager
- Store keeper.
- Receptionist
- Production manager
- Company Driver
- HR
- Director
-Some time mlinzi

hizo hapo juu Zote zitafanywa na mtu mmoja mwanzoni mwa biashara na mbele ya safari kadri unavyo tengeneza profit unaanza kuachia moja baada ya nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ufafanuzi kidogo ukisema kampuni ndogo, ya kati na kubwa capital zake zinakuwaje na aina ya structure inakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wadau wa JF !

Nahitaji msaada wa mfumo mzuri wa uongozi wa kampuni. Kama kuna watu wa utawala humu, raslimali watu nk wanisaidie. Ikiwa kampuni ndogo tu au ya kati na hususani kwenye TITLES za msingi itakuwa poa sana

- Shukhrani
Hujaeleweka sana, but kama unahitaji document nzima tuma email yako pm nikuforwadie structure doc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…